CONSTIPATION
KUSHINDWA KUTOA HAJA KUBWA.
Ni hali ya kushindwa kupata haja kubwa. Jambo hili hutokea pale mwili unahisi kutoa haja kubwa , ila ufikapo chooni haja kubwa inakuwa ngumu kutoka. Hali hii inaweza kumtokea mtu kwa siku kadhaa endelevu mwili kushindwa kutoa uchavu nje.SABABU ZA KUKOSA KWA HAJA KUBWA.
1. Kutokunywa maji kwa wingi2. Kushindwa kufanya mazoezi mara kwa mara
3. Kutakula Matunda na Mboga mboga za majani
4. Msongo wa mawazo
5. Ulaji mbaya wa chakula.
6. Ujauzito.
7. Ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi.
DALILI ZA KUKOSA HAJA KUBWA.
1. Kujawa na Gesi Tumboni .
2. Kuwashwa semehu za haja kubwa kutokana na kinyesi kukaa kwa muda mrefu.
3. Maumivu makali wakati wakutoa haja kubwa hata mara nyingine helepekea kuchanika kwa
4. Kupitisha siku 3 au zaidi bila ya kupata choo kikubwa.
5. Kuumwa tumbo mara kwa mara.
6. Kupata vipele, chunisi na muwasho usioisha.
NINI KIFANYIKE KUZUIA TATIZO HILO.
Mara nyingi watu wengi huenda hospitalini kupewa madawa lakini, tatizo hili linaweza kuzuilika kwa kufuata mambo machache ambayo yanawezakukusaidia kuepukana nalo.Kwanza unahitaji kula vyakula vyenye virutubisho vingi lakini vile vile vyenye uwezo wa kuupa mwili nyuzi nyuzi ambazo zinasaidia katika mmeng'enyo wa chakula na ivyo kuepukana na tatizo ilo.
Pili, utaitajika kufanya mazoezi mara kwa mara ili kuusaidia mwili na damu kuzunguka vizuri. bila ya kusahau maji kunywa kwa wingi ila pia na kwa makati.
SULUHISHO KWA WENYE TATIZO HILI.
Kwa wale wenye matatizo ya kukosa choo kwa mda mrefu, Tunazo bidhaa ambazo zinakwenda kusaidia kuondoa tatizo hili, zinafanya kazi zifuatazo;A. Kusafisha mfumo wa chakula.
B. Kusafisha viungo vinavyochuja sumu mwilini (Figo, Ini)
C. Kuondoa taka mwili
D. Kuondoa maumivu na kuupa mwili nguvu.
E. Kukuongezea virutubisho unavyokosa kwenye mlo wako wa kila siku kama madini na nyuzi nyuzi (minerals and fibers).
Wasiliana nasi kupitia +255684693101 kwa ushauri zaidi na kupata bidhaa hizi.
Comments
Post a Comment